Showing posts with label Game Muda. Show all posts
Showing posts with label Game Muda. Show all posts

Friday, July 13, 2012

INSANIQUARIUM!

0 comments




Ni fumbo lenye action litalokufanya ununue samaki, boresha silaha zako, na kufumbua  PETS waliofichwa ukiwa unavinjari kwenye dunia chini ya maji. 3D graphics za hali ya juu, sound effects za kusisimua, matokeo halisi na viumbe vya ajabu visivyo na hurumayote hayo yanaifanya hii gemu kuwa si ya kukosa!
  • Aina 4 tofauti za gemu unazoweza kuchagua.
  • tengeneza aquarium screensaver yako na urembe laptop yako.
  • Mpe jina utakalo samaki wako ndani ya tanki.

System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/VISTA/7
  • CPU: 600MHz or faster Processor
  • RAM: 128 MB







Download Bure

HAPPY CHEF

0 comments

Pata ujuzi wa kupika kitaalam kwenye game hii ya Happy Chef,  gemu ya kusisimu ya kumaneji muda ikiwa na aina mbalimbali ya vyakula! Fuata maelekezo ya jikoni ili uoneshe ujuzi wako wa mapishi. Anza kwa kutengeneza  hamburgers na hot dogs taratibu utaanza kua mtaalamu wa kupika vyakula vigumu zaidi! Kwa pesa unazopata kutoka kwa wateja, Karabati Mgahawa wako, nunua fenicha mpya, tafuta viungo bomba zaidi, na fanisi mgahawa wako uwe Mpishi mwenye furaha ( Happy Chef)
  • Karabati Mgahawa wako
  • Ongeza manjonjo kwenye menu yako iwe na vitu zaidi
  • Kua Mpishi bora na Mwenye furaha!

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/Win7
  • CPU: 800 Mhz
  • RAM: 256 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 419 MB








Download Bure

ANGRY BIRDS - RIO

0 comments

UNATAKIWA kuwaokoa ndege walionaswa ! Ndege hao wametekwa kwenye mji wa maajabu na wanahitaji hasa msaada wako! The angry birds wanapitia misukosuko mingi na kuwindwa kila mahali, hapo hapo wanatakiwa kuwaokoa wenzao Bul na Jewel-- ndege kiongozi wakiwa RIO ili kuwaokoa na mtego ndani ya mji huo wa ajabu.






Download Bure

COOKING ACADEMY 2

0 comments

KARIBU kwenye duka la kutengeza misosi! Cooking Academy 2 itakupeleka majiko ya migahawa duniani kote, kuanzia  BBQ Buns, mpaka Mexican Tamales, mpaka Japanese Sushi, fanikisha kutumia zaidi ya viungo 60 tofauti tofauti kutoka nchi nane tofauti! Jifunze vijimambo kuhusu chakula ukiwa unashika vilivyo mbinu mpya na mini-games zikiwemo hstua za chakula, vichanganywa, kuhifadhi na kutumia fridge na mengineyo mengi!
  • Viungo vya Kipekee
  • Geme za mapishi za Kusisimua
  • Tambua Vyakula vya kimataifa
  • Anza ya kwanza Cooking Academy

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/7
  • CPU: 1.0 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 98 MB




Download Bure

PEGGLE DELUXE

0 comments

Pima shabaha na onesha ufundi wa kulenga katika gemu hii! Lenga, piga, futilia mbali ORANGE PEGS, kisha tulia ufurahie waalimu 10 wakikuongoza kwenye kilele cha juu cha Peggle. Shinda level  55 na 10 za kimiujiza, ukijizolea BONUS POINTS na michomo itakayokufurahisha kwa majuma. Unaweza pambana na rafikio kwenye Duel Mode, ama jipime na michezo 75 zaidi ya kukupima ujanja. Ni mchanganyiko wa bahati, kipaji na msisimko wa raha, na kwa yote haya yakusisimua swali linabaki kua moja tu: Unaweza kua Peggle Master?
  • Levo 55 za hali ya juu.
  • Gemu ya kiufundi zaidi.
  • Power-ups zaidi na vikwazo.



System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista/7
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 21 MB






Download Bure

BEJEWELED 2 DELUXE

0 comments

Ni kuonesha maarifa ya kupanga vinavyofanana kupitia Bejeweled 2. Umeshawahi jiulizwa kwa nini mara nyingi gemu za kufananisha vitu vitatu watu wengi huzeinjoy? Jaribu na utajua. Kwa kukuondolea uchovu na kukupa nguvu ya kucheza zaidi. Utaendelea kuenjoy.
  • Njia 4 za kucheza.
  • Gemu uchezayo sasa kukutengenezea njia nzuri baabae.
  • Game maarufu ya mafumbo.

System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista/7
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 38 MB







Download Bure

ZUMA REVENGE!

0 comments

ANGALIA usipoteze roho na hakikisha hakuna kinachokatisha ndani ya  Zuma’s Revenge – Adventure, gemu nzuri ya vijigoroli. Shinda kila levo kwa kufyatua matufe ili kuweka ufanano, na washinde mabosi ^ wajiitao TIKI. Ruka kutoka Uanja mmoja hadi mwingine ili upate kurenga sawia! Epuka makosa wa kurusha tufe pasipo.
  • Game maarufu Bongo
  • Ushindani zaidi kwa mabosi
  • Ruka kwenye action za kuvunja mipira


System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/7
  • CPU: 800 Mhz
  • RAM: 256 MB
  • DirectX: 8.1
  • Hard Drive: 108 MB







Download Bure
Powered by Blogger.